BREAKING NEWS
Showing posts with label Mapenzi. Show all posts
Showing posts with label Mapenzi. Show all posts

Saturday, 23 July 2016

Jinsi Ya Kumfanya Mpenzi Wako Wa Zamani (Ex) Atamani Kurudiana Nawe




jinsi ya kumvutia mpenzi wako wa zamani arudiane naweKumfanya mpenzi wako wa zamani kurudiana na wewe si jambo la rahisi kutimiza, haswa kama iwapo ameshachukua hatua ya kusahau yaliyopita na kupata mchumba mpya ambaye wanadate.
Wakati mwingine, inafaa ujipende wewe mwenyewe zaidi ili kufanya mtu mwingine naye akupende. Inafaa uwashe kitu fulani ndani yako; ili kufungua nishati ambayo inapatikana ndani ya mwili wako ili uweze kuwa mtu tofauti.

Wakati mwingine kama tumevunjwa moyo na kukata tamaa tunasahau kujipenda sisi wenyewe. Dunia yako haifai kuzunguka kwa mtu mmoja pekee. Kumbuka marafiki zako wapya na wa zamani sababu hao wanaweza kukusaidia.

Kuwa jasiri kufanya mambo ambayo hujawahi kufanya mbeleni. Kufanya hivyo kutakupa wewe nafasi ya rahisi kumpata na kurudiana na mpenzi wako wa zamani. Jaribu kuvumbua upande mwingine wa nafsi yako, na ukigundua kuwa unaweza kufanya mambo kama hayo, unaweza kujiamini kufuata maagizo haya ya kutumia saikolojia ili uweze kumfanya mpenzi wako atake kurudiana na wewe.

1. Tumia saikolojia mjeuko

Mfano
Mpenzi wako wa zamani Ex ameamua kuachana na mambo yenu ya zamani. Hajibu texts zako wala hataki kupokea simu zako.

Kitu cha kufanya
Bila shaka itakuwa wamezoea ya kuwa kila wakati unamfukuzia ama kutaka kujihusisha na kumbabaikia. Lile ambalo utahitaji kufanya ni usijisumbue kuwatext wala kuwapigia simu.

Kama itatokea mkipishana hata usijisumbue kumuangalia machoni. Akikusalimia mambo wewe mjibu tu poa. Hivi hivi unafaa kuwafanyia marafiki zake. Hakikisha ya kuwa unawafanya kana kwamba huwatambui kabisa katika maisha yako. Wewe jifanye mtu wa kawaida kabisa.

Ukifanya hivyo wataanza kushangaa kwa nini umeanza kuwapuuza kwa ughafla. Wataanza kujiuliza kwa nini umeacha kuwatumia jumbe fupi ama kukuona kwa nini siku hizi umeacha kuwa mtu wa kujamiiana. Mwishowe itafikia wataanza kuuliza marafiki wengine kutaka kujua kama umepata mchumba mwingine ama umeanza kudate mtu mwingine.

Owk. Kama unafanya haya yote kumbuka usivuke mipaka. Wakikusalimia jibu salamu zao lakini usiwe wewe wa kwanza kutoa salamu. Muda si mrefu watagundua ya kuwa mchezo umewajeukia wao bila hata wao kutambua.

2. Jipe shughli kwa kuwa buzy
Hakikisha kuwa unajipa shughli zako kila muda. Mwanzo kama mnafanya kazi katika jengo moja ama mnasoma darasa moja hakikisha ya kuwa unafanya shughli zako kama kawaida ili uonekane huna muda na mambo ambayo anafanya...yaani humtambui kama yuko hapo.

Kwa bahati mbaya iwapo itatokea umekuwa na yeye katika sehemu moja jifanye unatext mtu ili mradi usiongee na yeye. Hii itamfanya yeye kujiona mjinga akiwa kando yako sababu wewe upo buzy na shughli nyingine. Kama ni hali mko shuleni, unaweza kumpuuza kwa kujikeep buzy ukiongea na rafiki yako mwingine

3. Usijifanye uonekane mwenye wivu
Mfano
Umemuona mpenzi wako wa zamani akiandamana na mwanamume/mwanamke anayevutia kama vile Justin Bieber/Beyonce wakitembea wakija upande wako.

Kitu cha kufanya
Usionekane mwenye wivu. Jiweke asili yako vile ulivyo.

Unaweza fikiria unapishana tu na wapenzi wawili ambayo huwajui kamwe. Usijaribu kuwakimbia.

Ukijaribu kuwahepa utakuwa unatuma ujumbe kwa mpenzi wako wa zamani ukiashiria ya kuwa bado unawapenda na kumwona yeye na mwanamume/mwanamke mwengine kumekufanya uvunjike moyo. Huku kutawafanya wao kujiskia wako juu na kujiskia raha. Badala ya wewe kuwafanya wajiskie hivi, hakikisha ya kuwa unawapuuza kabisa. Jambo hili litawafanya kuwa na maswali mengi iwapo kama tatizo liko wapi. Kile unachofaa kufanya nikuwapuuza.

4. Badilisha muonekano wako. Kuwa mtu tofauti
Owk najua ushawahi kuskia zaidi ya mara elfu moja kuwa unafaa kubadilisha muonekano wako ili kujionyesha. Well, kufanya hivi kuna umuhimu gani?


  • Kujibadilisha kunakupa mwonekano mpya na kunakufanya ujiskia vizuri kuhusu wewe mwenyewe. Kufanya hivi kunakupa confidence na kuweza kujiamini kila mahali utakapokwenda.
  • Kama unaonekana vizuri, kwa kawaida inakuwa kama ni kioo kinachokumulika ndani yako. Hii itatuma meseji kwa mpenzi wako wa zamani kuashiria kuwa maisha yako hayazunguki kwa mtu mmoja pekee ambaye ni yeye.
  • Iwapo umejibadilisha kabisa, watagundua ya kuwa kuna nafasi ya haraka kwako kuweza kupata mchumba mwingine. Hii inaweza kumfanya Ex wako kuingiwa na hisia za woga wa kukupoteza asilani. Hivyo kuna uwezekano wa yeye kujipendekeza kwako ili mrudiane.
5. Kuwa mtu usiyejali na ujiburudishe
Tumia muda wako ulionao kujiinjoy na marafiki zako. Jumuika na marafiki zako sehemu tofauti, cheka zaidi, enjoy maisha hadi kilele chako. Iwapo ulikuwa na stress ama mkazo wa maisha wakati ulipokuwa ndani ya mahusiano naye na sahizi umekuwa tofauti itaashiria kuwa umekuwa na utofauti mkubwa na kuwa ndani ya mahusiano naye ilikuwa ni balaa tupu

6. Jifunze kukataa
Ukionyesha kuwa bado unampenda mpenzi wako wa zamani, basi wanaweza kuutumia huu mwanya kukutumia vibaya kwa kuwa hauna uwezo wa kukataa chochote ambacho wanaweza kusema.

Acha kuwa mtu wa aina hii kwa kujikeep buzy na mambo tofauti ya muhimu. Jiheshimu wewe mwenyewe kwa kukataa kutumiwa ovyo. Usikubali kamwe kufanywa mtumwa na mpenzi wako wa zamani. Mwonyeshe kuwa umekuwa tofauti kabisa na mtu ambaye ulikuwa zamani.

Jipe shughli na vitu vyako ili usiweze kutumiwa na ex wako. Hata kama ni kumsaidia na kitu ambacho kinaweza kuchukua dakika 15 unahaki ya kumwambia usoni mwake kuwa haujiskii na kile anachotaka umfanyie.

7. Ingia gym, boresha umbo lako
Kuingia gym ni mbinu moja wapo ambayo unaweza kuitumia kusahau mambo yako ya zamani. Pia kuingia gym kunakupa nafasi kwako kujishepu mwili wako ili uwe na toni ya kuvutia. Pia gym inakusaidia kukupa confidence na kujiamini. Pia gym inakufanya uwe na nguvu zaidi.

Mpenzi wako wa zamani aka ex wako akiona mabadiliko yako ya kimwili, kujiamini na nguvu bila shaka atavutiwa nawe. Labda wakati mwingine anaweza kukuomba kama unaenda gym muende pamoja.

8. Usiwahi kumsifia
Mfano
Wewe na ex wako mmekutana katika birthday party ya rafiki yenu halafu akakusifu kwa mtindo wako uliovalia kwa kusema "Umependeza". Wewe ni lazima umjibu pia.

Vile unavyotakiwa kusema
Mjibu kwa kumsifia lakini usiingie sana. Unaweza kumwambia "Pia wewe umependeza lakini mtindo wa nywele zako umekaa vibaya na nguo" ama "Hio nguo uliyovaa inaweza kufanya kila mwanamke akuangalie lakini marashi uliopaka yananuka vibaya"

Ok hii itawachanganya kabisa kwa sababu hawakutarajia kamwe kuskia neno 'lakini' katika kuwasifia.

Unaweza kuonekana mchoyo lakini hio ni muhimu katika kutimiza lengo lako la kutumia mbinu ya kisaikolojia ili kurudisha akili yake kwako.


Mwisho nikuwa ukitumia mbinu hizi zote kuna uwezekano mkuu wa ex wako kukutizama na sura mpya. Kurudiana na ex wako kutategemea na chanzo chenu cha kwa nini mliachana mara ya kwanza. Labda ilikuwa ni sababu ya kuboeka na mahusiano yenu ama sababu tofauti kabisa.

Maswali 20 Machafu Ya Kumuuliza Mwanamke Whatsapp Ambayo Yatamfanya Apandwe Na Nyege

Wanawake wanapenda kuwa wagumu sana kila wakati ikifikia maswala ya kuwatongoza. Ni vizuri kuwa hivyo kwa sababu haitakuwa na maana kwa mwanaume kumpata mwanamke yeyote bila kutoa kijasho.

Wakati mwingine inakuwa rahisi kwa mwanaume kumsisimua mwanamke haswa ikifikia maswala ya kumshawishi.

Kuna njia tofauti tofauti ambazo unaweza kutumia kumshawishi mwanamke yeyote kuingia katika box lako. Hapa tumekurahishia kazi kwa kukuandalia maswali ishirini ambayo ukimuuliza mwanamke yeyote utamfanya azimie. Maswali haya unaweza kuyatumia mkiwa pamoja ama kama mwanamke anaweza kuhisi fedheha kiasi flani basi ni vyema zaidi kutumia maswali haya katika text, mtandaoni ama Whatsapp.

Tumia maswali haya kumuuliza aidha mpenzi wako ama ni mwanamke yeyote yule ambaye huwa unamtongoza. Unaweza kuanza na swali lolote lile ilimradi uwe unachat na yeye muda wote. Hakikisha umetumia maswali nyakati za usiku ili uweze kupata matokeo mazuri.

1. Uko pekeako?
Swali hili linaeleweka kuuliza kama yuko pekeake na hana kitu cha kufanya nyumbani. Akijibu yuko pekeake. Mjibu kwa kumwambia kuwa unatamani ungekuwa uko na yeye pale alipo sasa.

2. Unafanya nini sahizi?
Fanya kumuuliza hivi kwa umakini ili ujue kama yuko huru ama vipi. Kama ana kazi basi itakuwa ni vigumu kwake kumakinika na mpango mzima. So hakikisha kuwa hayuko buzy. Wanawake wengi hupenda kusema kuwa wako kitandani hawana kitu cha kufanya.

3.Wapenda kupapaswa wakati umelala kwa kitanda?
Swali hili ni kama changamsha bongo kwake. Hii inatoa nafasi ya kuiweka akili yake kwa chat na kuanza kuongea maswala ya kimapenzi polepole bila kumfanya aingiwe na woga ama kushuku nia yako chafu.

4. Unavalia nini kama unaenda kulala/ umevalia nini sasa hivi?
Hili ni swali lenye shauku kwa mwanamke ambaye tayari amejilaza kwa kitanda. Hili ni swali la kibinafsi na bado halijatimiza kumfanya mwanamke kuingiwa na akili ya kusisimuliwa. Akitaja kile alichovali unafaa kumjibu kwa mfano: "Duh!, sahizi umenifanya nianze kukuwaza vile ambavyo umerembeka".

5. Hivi waona unarembeka / sexy zaidi ukivalia nguo gani?
Mfanye aanze kuongea mambo na nguo ambazo akizivaa zinamfanya akuwe sexy ama zinazomrembesha. Atajieleza vile alivyo yeye. Hapa utakuwa unamsoma akili yake iwapo anaweza kustahimili chat yako. Akitaja anapenda kuvaa kanga, jaribu kuichafua akili yake kwa kumuuliza iwapo amenyeshewa na mvua akiwa amevalia kanga(ama nguo yeyote) angejihisi vipi.

6. Ushawahi hata mara moja kumuona mtu mwengine akifanya ngono kwa bahati mbaya?
Swali kama hili linawaweka nyote katika hisia za kupandwa na nyege lakini mnaliweka swali hili kwa mtu wa tatu ili liwazuie mjiskie huru kuendeleza na chat yenu.

7. Ushawahi kushikwa matiti na mtu yeyote kibahati mbaya wakati mmesimama mahali hadharani penye watu wengi?
Swali kama hili linaweza lisimshangaze mwanamke kwa sababu wanapitia mambo kama haya. Akikubali, mjibu ungetamani kuwa ni wewe umemshika kibahati mbaya. Akijibu kwa kucheka ujue mchezo unaenda sambamba.

8. Ushawahi kufanya ngono na jamaa kwa sababu ya kuwa ulikuwa na nyege?
Fanya kumfahamu kama ni mwanamke ambaye anaweza kufanya ngono na mwanaume wakati ambapo anapoingiwa na nyege. Wanawake wengi wanaweza kukataa kujibu hili swali lakini ukiona amekujibu vizuri basi inaonyesha kuwa mwanamke huyu yuko tayari kujibu swali lolote lile ambalo umemwandalia. 



9. Kwa bahati mbaya ukimwona mwanaume akiwa uchi ungependa kuona sehemu gani yake ya mwili kuanzia mabega kushuka chini?
Sasa hapa umeanza kuwa mkorofi kwa kuanza kumuuliza maswali ya kiujanja. Hii itamfanya yeye aonekane ndiye anatumia maneno machafu na wala si wewe.

10. Unapenda gani kati ya boxer ama chupi?
Hili ni swali na kumchanganya tu. Akikujibu anapenda boxer mwambie umevalia nini. Hapa kutamfanya aanze kufikiria vile umevalia. Ataanza kukuwaza ukiwa umevalia boxer ama chupi pekee.

11. Siri yako ni ipi ya kumpagawisha mwanaume kihisia?
Kwa kumuuliza hivi utamfanya yeye kufikiria akifanya mapenzi na mwanaume na atakuwa akikuelezea. Hii itamfanya yeye kuingiwa na mawazo ya ngono. Wakati uo huo anaweza kukueleza zaidi kuhusu kwa nini yeye ni bingwa wa kupagawisha mtu.

12. Kama kuna sehemu ambayo mwanaume anayoweza kukugusa na kukufanya kuingiwa na unyevu ingekuwa ni ipi?
Hili ni swali la moja kwa moja ambalo litamfanya kupandwa na kuingiwa na nyege. Kama atalijibu na ukweli wake wote, basi fahamu ya kuwa atakuwa amepandwa na nyege.

13. Je ukipapaswa mwili mzima unaweza kuingiwa na unyevu?
Wanawake wengi wakipapaswa vizuri kwa kawaida huingiwa na unyevu.  Hivyo unaweza kumjibu kuwa wewe una ustadi wa aina hio so ukikutana na yeye hilo ndilo jambo la kwanza la kumfanya ili kumsisimua.

14. Kama nimekupiga busu kwa bahati mbaya wakati nakuaga, utanichukulia vibaya?
Swali kama hili litamfanya kuanza kufikiria busu lako kama lingekuwaje.

15. Mwili wangu ungeuona wa kuvutia ukiwa na manywele ama ukiwa umenyolewa?
Swali kama hili fasta litampa taswira ya wewe ukiwa uchi kwa madakika fulani akikuona ukiwa na manywele ama umenyolewa.

16. Kama wataka kufanya mapenzi na mwanaume ungependa wewe kuanza ama yeye?
Swali hili litamfanya afikirie akiwa uchi tayari kufanya ngono.

17. Kitu gani mwanaume anachofaa kukufanyia ili uingiwe na unyevu?
Hapa unaingia direct kwa swali ambalo ni tamu. Akikujibu vizuri unafaa urudie tena swali la 12 ili apate kukuelezea kwa kina.

18. Kama ningekuwa nakunongonezea maswali haya yote kwa sikio lako, je ningekusisimua kihisia?
Kama umeifanya hii chat imeenda vizuri, kufikia sasa inafaa kuwa huyo mwanamke ameingiwa na unyevu kitambo. So kwako ni kumsikia mwenyewe kama atakujibu nini.

19. Kama haungekuwa na boyfriend, je mimi na wewe tungeweza kufaana? ? Kama ningekuwa na wewe sahizi tungeweza kulana dende?
Swali kama hili laweza kukufanya ulazwe kwa kitanda, lakini hili swali la mwisho ndio litafunga mchezo.
20. Kama mwanaume yeyote muda huu angekuja sehemu unayoishi na kufanya ngono na wewe ungeipenda?
Usijizungumze kuhusu wewe wakati unapomuulizwa maswali kama haya. Lazima uhakikishe ya kuwa anakutaka. Akijibu 'ndio' kimbia fasta kushinda fastjet hadikwa nyumba anayoishi. La sivyo, hakikisha kutumia mbinu nyingine za ushawishi hadi atakapokuruhusu uende nyumbani kwake. 



CREDITS TO NESIMAPENZI

Tuesday, 19 July 2016

Jinsi Ya Kumfanya Mwanamke Apandwe Na Nyege Kwa Kukaa Kando Yake..




Kumfanya mwanamke apandwe na nyege ni ndoto ya kila mwanaume ambayo angependa kutimiza. Kutaka kujua mbinu hii, nimekuletea hatua 8 ambazo ukizifuatilia kwa umakini utafaulu wakati wowote.

Ok, kabla tuanze ngoja niweke wazi...jambo hili si rahisi.

Kumfanya mwanamke kupandwa na nyege lazima nyote wawili muwe na tenshen ya kimapenzi 

Ukiingiwa na tamaa ya kuruka hatua hata moja katika hii orodha nilioiweka hapa basi fahamu ya kuwa utaharibu mpango mzima, na itakuwa vigumu kwako kutimiza ajenda yako chafu.

Nafasi ya kumfanya mwanamke apandwe na nyege mara nyingi huwa haipangwi, hutokezea tu. Hivyo ukipata nafasi kama hii unaweza kuitumia kadri uwezavyo.

Jinsi ya kumfanya mwanamke apandwe na nyege

Kabla kufanya lolote na mwanamke unayeazimia kumfanyia kitendo hiki lazima ulete kemia ya kimapenzi kati yenu. Njia nzuri ya kufanikisha hivi ni kutumia mbinu ya kumtext ama kutumia jumbe fupi za kimapenzi. Tumia mbinu hii tumsuka na kumrushia maneno ya kuvutia mpaka akuzoee. 

Ukiona ama ukigundua kuwa kuna kemia ya kimapenzi kati yenu, sasa unaweza kukaa na yeye ili utumie hizi mbinu ambazo uko karibu kuzifahamu.

Ok wengine wangeuliza kama kweli iwapo inawezekana kumfanya mwanamke apandwe na nyege ukikaa na yeye. Jibu langu ni kuwa soma hatua hizi 8, zifanyie mazoezi halafu ukazijaribu. Najua utanijibu wewe mwenyewe.

Bila ya kupoteza muda hebu zama nami katika hizi hatua.

1. Kaa kwa kubanana naye
Unapokuwa na mwanamke ambaye umemzimia, tafuta kisababu cha kukaa na yeye sako kwa bako. Toa tablet yako umuonyeshe kitumizi kipya ulichodownload, ama unaweza kuchukua kitabu/gazeti umuonyeshe habari ambazo anapenda.

Wakati umekaa na yeye hakikisha ya kuwa hauachi nafasi yeyote kati yenu. Hakikisha ya kuwa mikono yenu inashikana. Ikiwa umeacha nafasi ndogo kati yenu, hakikisha umemsogelea hadi mnabanana. Ukishafanya hivyo, fasta toa tablet/simu yako umuoneshe app yeyote ama habari zozote mpya za udaku ili mradi umchanganye akili ili asisongee mbali na wewe. Hakikisha mikono yako inapata nafasi ya kulisha mikono yake kwa sababu hii ndio njia moja kuu ya kuleta tenshen kati yenu

2. Maslahi yake uyazingatie
Usijaribu kutumia lugha ya kutongoza ama utamfanya aanze kukushuku. Tayari anajua kuwa miguso ya mikono yako ya mara kwa mara inaashiria kitu fulani. Kile unachotakiwa kufanya ni kuivuruga akili yake kwa kuleta mada ambayo itamvutia.

Ichukue atenshen yake kwa kumgusia maswala ya udaku ama skendo ambalo umeliskia mahali fulani. Iwapo utaendelea kuzungumza na yeye na kumfanya awe na shangwe, basi atachukulia kubanana kwenu na miguso yenu ya mikono ni jambo la kawaida tu na halina ajenda yeyote.

3. Anza kutumia lugha ya kumsuka/flirt
Kumfanya mwanamke apandwe na nyege ni jambo rahisi sana iwapo nyote wawili mtakuwa katika sehemu ambayo haina usumbufu. Aidha inaweza kuwa chumbani, maktabani, ndani ya basi nk. Mahali popote pale mlipo ilimradi uhakikishe unamkeep busy na kufanya yale ambayo yanastahili kufanywa.

Wakati mtakuwa mnaendelea na gumzo lenu, unafaa kutumia maneno ya kumsuka lakini yawe ya kichini chini. Mfano unaweza kumwambia "Unanukia utamu", "nimependa kitambaa cha nguo yako","nishawahi kukuambia kuwa macho yako yanapendeza? Nimependa vile yanang'aa nikiwa karibu yako." Maneno kama haya unaweza kumrushia mwanamke huyu bila hata yeye kusongea mbali na wewe. Mwanzo atakuwa anapenda kuyaskia.

Mara kwa mara ingiza maneno ya kusuka. Kama mbeleni ushawahi kumtumia texts chafu unaweza kuleta stori kuhusu baadhi ya texts hizo ili umkumbushe mambo ya kimapenzi ambayo mumekuwa mkitumiana.

4. Shika vidole vyake
Huu mchezo ucheze kwa tahadhari na polepole. Hakikisha nyote wawili mnagusana vidole vyenu kibusara. Iwapo itatokezea ataingiwa na wasiwasi ama kutojiona sawa, basi hapo ndipo itakuwa tamati yako ya kumfanya apandwe na nyege. Jaribu kutafuta kisababu cha kushika vidole vyake aidha kwa kusugua mikono yake na yako ama kumpatia kitu ashikilie. Msifie vile mikono yake iko laini kama pamba. Kufika hapa lazima atakuwa ameanza kujua ajenda yako chafu kwake. Hakikisha ya kuwa hauna pupa ya kufanya chochote cha haraka. Ukiwa mpole kwa kuchukua hatua kwa hatua basi pia yeye atakuwa anafurahia.

5. Mnong'onezee katika sikio lake
Hii itatekelezwa vizuri iwapo mko katika sehemu ambazo kuna watu wengine. Mfano ndani ya basi, mkiwa na marafiki zenu, katika sinema, viti vya nyuma vya gari ama mkiwa nyumbani wakati mnaangalia kipindi pamoja, itakuwa sehemu bora zaidi kufanya kitendo kama hiki.

Usijaribu kuleta ucheshi ndani yake kwa kuwa ukifanya hivyo kutaua mpango mzima. Hivyo msogelee kwa sikio lake na kumsifia kwa jambo fulani. Mwambie kuwa umeshindwa kujizuia kumwambia maneno hayo ya kumsifu kwa mara nyingine.

Iwapo unataka kugonga ndipo, unaweza kumsogelea hadi kwa sikio lake na kumwambia kuwa ungependa kutoka out na yeye siku moja.

Unapotamka maneno ya  kimahaba katika sikio lake hakikisha ya kuwa unapumua kwa uzito. Kufanya hivi kutasisimua nywele zake za malaika zinazopatikana nyuma ya shingo na mikononi mwake. Pia usisahau kulisha midomo yako kwa sikio lake ili kuleta mtizamo wa kumtesa kwa kujaribu kumla dende kwa sikio lake

6. Jaribu kumfikia kwa upande mwingine
Ili hatua hii iweze kufanikiwa, lazima uanze kuhisi tenshen ya kimapenzi kutoka kwako. Usijaribu kuifanya hii hatua kama hakuna tenshen ya kimapenzi kutoka kwako. Iwapo tenshen ya kimapenzi uko nayo tayari, usitie shaka kwani pia kwake itakuja mara moja.

Kwa kuwa mpaka sasa umekuwa ukigusagusa mikono yake na kumnogonezea kwa sikio lake mara kwa mara, sasa tuchukue hatua nyingine ya kujaribu kuchukua kitu kutoka upande wake mwingine wa kwake.
Mfano umekaa na yeye sako kwa bako chumbani mnaangalia tv halafu ukataka kuchukua remote ya tv, wakati unapitisha mkono wako hakikisha ya kuwa mkono wako unalisha matiti yake ama sehemu nyingine ya mwili wake. Hakikisha ya kuwa unafanya ionekane jambo la kawaida bila kujifanya fala kwa kujishuku

Kama matiti yake huwezi kuyafikia unaweza kupitisha nyuma ya mgongo wake ama juu ya mapaja yake ama sehemu yeyote ile ambayo kwa kawaida huwezi kuigusa kawaida ukiwa naye.

7. Isome miondoko yake
Ukianza kumuona anazungumza polepole na kukusongelea karibu yako, ishara kuu ni kuwa ameshapandwa na nyege kama ulivyo wewe. Najua iwapo umetumia hatua hizi moja baada ya nyingine kufikia sasa najua umesimikwa. So kufikia hapa unaweza kurudia hatua za kumsuka, kumtesa, kumgusa na kujaribu kufikia viungo vyake vingine vya mwili ilimradi nyote wawili mnafurahia.

Lisha mikono yako kwa matiti yake ama uangalie shati lake kama utaona vitu vimesimama kwa matiti yake, utakuwa umefaulu kumfanya mwanamke apandwe na nyege!

8. Muulize kumtoa out
Ok hatua hizi zote naona hazifai kupotea hivi hivi. Waonaje umuulize kama anataka umtoe out? Bila shaka hawezi kataa kwa sababu muda huu mfupi umekaa na yeye utakuwa umempagawisha vya kutosha. 

Psss! Baada ya kutoka naye deti na akakubali kulala na wewe (hio ni lazima kama tayari ushawahi kumpandisha nyege) unaweza kutimiza hatua za kumfikisha kileleni kwa kujaribu hizi staili 365 ambazo tumezitengeneza spesho kwa ajili yako. 
Anyway, mwanamke furaha yake kuu ni uwezo wako wa kumtimizia vyema kitandani. So usipoteze nafasi hii ya kumfanya mwanamke akuone wewe ndiwe mwanaume kati ya wanaume wote.




CREDITS TO ; NESIMAPENZI.COM

Monday, 18 July 2016

Wanaume : Zijue Mbinu Za Kumpata Mwanamke Ambaye Tayari Ana BoyFriend


 post-feature-image


Sababu za kwako kumzimia mwanamke ambaye tayari ana boyfriend sizijui ni zipi. Labda ulikuwa umemzimia tangu zamani lakini ulikosa mbinu za kumtongoza akachukuliwa, labda unataka kulipiza kisasi, ama labda unaona huyo boyfriend aliye naye sahizi hafai...ama sababu tofauti kabisa na hizi. Well, jawabu langu ni kuwa, hakuna chochote kisichowezekana hapa ulimwenguni. Mwanzo inaweza kuwa rahisi zaidi kumnyakua mwanamke huyo bila wewe kutoamini. Kile unachohitajika sasa nikufuata hizi mbinu ambazo zimehakikishwa na kufanyiwa utafiti.
1. Kuwa mwanaume ambaye anakuwa kwa ndoto ya kila mwanamke
Kuwa na tabia za kigentleman. Kuwa gentleman itamfanya mwanamke yeyote yule akuwaze na kukutia ndotoni mwake na pia kutaka kukujua zaidi ama atleast kuwa mnakutana mara kwa mara. Hakikisha pia kando na kuwa na tabia za ugentleman, hakikisha ya kuwa unapenda kuwa karibu na yeye na akianza kuonyesha dalili zozote zile, mfano kukupa busu kipajini au kwa shavu, ama kupenda kukukumbatia, fahamu kuwa unaenda sambamba na ajenda yako. Pia kumfanya akuweke kwa akili yake lazima uonyeshe interest zako kwake.

2. Usiache kumuangalia
Wakati ambapo mnakuwa pamoja mnaongea, hakikisha kuwa macho yako yote yanamuangalia yeye kila wakati. Hii ni ishara ambayo itamuonyesha yeye kuwa una macho ambayo yanamzimia yeye pekeake. Mbinu hii itamfanya kwa urahisi kutaka kukutia machoni akuangalie kama bado tabia ya kumuangalia yeye uko nayo ama la.

3. Usisahau kutumia lugha za kumsifu
Ukweli usemwe. Watu wakiwa katika mahusiano kwa muda mrefu kuna vitu mbavyo wanavichukulia kama mzaha. Mfano katika mahusiano ya mwanamke na mwanamume, unapata mara nyingi wamezoeana kiasi cha kuwa wanajihisi uhusiano wao umeshikana kiasi cha kuwa wanasahau mambo madogo madogo kama vile kumsifu mpenzi wake, kumzawadi nk.
Hii ni njia wapo rahisi ambayo itakuwezesha wewe kuuteka moyo wa mwanamke ambaye ana boyfriend kwa haraka. Maneno ya kumsifu ambayo hajaambiwa kitambo yanaweza kumchanganya akili mwanamke yeyote na kumfanya kuingiwa na hisia mbili mbili. Niamini ukitumia mbinu hii utakuwa na nafasi kubwa ya kwako kufaulu kumpata mwanamke aina hii.

4. Hakikisha umemuelewa ndani na nje
Wengi wangeuliza itakuwaje kumfahamu mwanamke ndani na nje na tayari ana boyfriend? Kama ulikuwa hujui basi ni hivi, kulingana na utafiti, inasemekana kuwa akili ya mwanamke inafanya kazi tofauti kabisa na ya mwanamume. So usitilie shaka kabisa hapa. Pia hakikisha umesikiliza kila kitu ambacho atakwambia na utilie maanani yote atakayosema.

KUMBUKA: Wanawake hujiskia huyu kuongea yote ambayo yanatoka akilini mwao kwa mwanamume ambaye anamuamini na kumkubali. Hivyo ukiona umefikia level hii fahamu ya kuwa hauko mbali na kutimiza lengo lako kuu. Pia usisahau kutumia maneno ya uchezi ili kupunguza tenshen ambayo inaweza kuwa kati yenu.
ONYO: Usijaribu kumwambia moja kwa moja kuwa unamzimia na unataka kumpokonya kutoka kwa boyfriend wake kwa sababu hio haitafanya kazi kamwe.

Hatua 11 Za Kufuata Ili Uweze Kumshawishi Mwanamke Mfanye Mapenzi





 

Najua umechoshwa kumuona yule mwanamke mrembo ambaye unapishana naye kila siku aidha ukiwa nyumbani, kazini, shuleni ama hata katika ule mkahawa maarufu ambao unapenda kutembea kila wikendi bila kuongea na yeye.
Ama labda ni yule mwanamke ambaye umefanya kumuona majuzi na ni mgeni kwako.



Well, haya si matatizo makubwa kwani kama unataka kumtongoza na kumuwini hadi ufanye mapenzi na mwanamke basi unapaswa kuelewa mambo kadhaa yanayofanya kazi, na ujue mbinu za kutumia ili zifanye kazi kwa manufaa yako.
Kama hutaweza kuwa yule mwanaume ambaye anaweza kumshawishi mwanamke kirahisi. basi inaweza kuwa vigumu  wakati wa kujaribu kuteka atenshen yake.

Lakini usiwe na wasiwasi coz hizi hatua ambazo tutakupatia sahizi zitakusaidia pakubwa kuweza kumuwin mwanamke kirahisi.
So inakuwaje?

Kabla tuanze nataka ufahamu kuwa kila mwanamke anakuwa na ladha yake tofauti tofauti ikija kwa kuchagua mwanaume, na ukitumia ujanja wako vyema wa kutotambulika basi unaweza hata kulala naye kwa muda mfupi zaidi bila wewe hata kufikiria.


Hatua 11 za kufanya ufanye mapenzi na yeye


#1 Kuwa karibu na yeye
Kama unamtaka mwanamke basi kitu cha kwanza ni kuwa lazima umjue vizuri. Usijitokeze na ubabe mwingi wa kujiona beberu kwa sababu atakuona kama tishio kwake ama hatakuwa huru kuongea na wewe ama mbaya zaidi ataboeka na wewe.

Fanya kuongea na yeye ili umjue vizuri. Mtumie meseji mara kwa mara na tumia lugha ambazo zitakuwa sahili kwake ili akukubali haraka. Lakini usiwe na pupa ya  kuanza kumtongoza, la. Onyesha tu ule upendo wa kirafiki mara ya kwanza.

#2 Pendezeka
Hii hatua ndio itakayoamua iwapo kama umempendeza ama wampotezea wakati wake. Wakati unapoongea na yeye mara kwa mara jaribu kuangalia ishara zozote kutoka kwake iwapo yuko interested na wewe au la.

Hii hatua unapaswa kumtext na kumtumia jumbe ambazo zitalingana na mambo anayoyapenda. Mfano kama anapenda kuhusu mada za sinema basi pia wewe fanya tafiti kuhusu filamu ambazo anazipenda ili uweze kumpendeza.

Hii hatua pia unapaswa uchunge usiwe mtu wa kuboa kwani ataanza kukutenga polepole mpaka mwisho ujione mjinga. Ukimwona ameanza kujibu meseji zako kuchelewa ama kutokujibu siku nzima basi fahamu ameanza kukutenga. Hivyo basi hakikisha kuwa unakuwa mjanja katika hii hatua. [Soma: Vitu vya kufanya na kuepuka unapomtumia meseji mwanamke]

#3 Kuwa active usiku wa kiza
Wakati mzuri na ule wa msisimko ni kutumia jumbe usiku wa kiza na kupigiana masimu. Usiku wa kiza ni muhimu kwa kuwa mwanamke ni rahisi kuitikia kile ambacho unataka wewe.

Hakikisha wakati unapoanza kumtumia jumbe anza na nyakati za jioni siku ya kwanza, saa mbili siku ya pili mpaka azoee kuchat na wewe mida hizo za saa nne hadi usiku wa kiza.

Pia hapa uchunge meseji zako zisikuje kwa uzito. Anza kwa kumchokoza polepole hadi ufikie pale ambapo unaweza kumtumia meseji za mapenzi hadi zile za kumpandisha nyege.

#4 Ishi maisha mawili
Hapa ni pale ambapo unahitajika kumchanganya. Kila wakati wa usiku unapomtumia jumbe na kumpigia simu hakikisha kuwa unamsuka, unamtongoza na unamrushia meseji za kimahaba. Lakini ikiwa wakati wa mchana umekutana na yeye usijaribu kuongea kama vile ambavyo unaongea naye usiku unless yeye mwenyewe aanzishe stori kama hizo – ishara ya kuwa amependezwa na wewe.

Halafu muhimu zaidi ni kuwa wakati mnapokuwa na marafiki wengine msiongee kuhusu chat zenu kabisa, yaani ni nyinyi wawili pekee ndio mnaopaswa kuongea mambo kama hayo. Hii itaingia kwa akili yake kuwa mambo mnayoyafanya usiku ni kati ya nyinyi wawili hivyo basi lazima kuna kitu ambacho kinaendelea kati yenu.

#5 Usimuonyeshe kuwa unampenda
Hapa ndipo wanaume wale wa ‘kawaida’ ndio wanapofanya makosa. Wanamwambia mwanamke kuwa wanampenda na kuwa wanahisia na wao. Yeah, ofcourse unampenda. Tayari anajua hilo, si ni kweli? Unamtext kila wakati, unampigia simu kila mara, na lazima atakuwa anahisi hio kemia.

Lakini ijapokuwa ana fununu ya kuwa unampenda, anahitaji uhakikisho wake kupitia kwa kukusikia wewe umwambie hivyo. Cheza kijanja, usimwambie na mapema. Utakuwa unamsisimua na ataathirika na wewe kihisia. Lakini kumwambia mapema hisia zako zitaua ile haja ya yeye kutakaa kujua zaidi kutoka kwako. Wanipata? [Soma: Jinsi ya kuathiri hisia za mwanamke]

#6 Ingia katika himaya yake ya binafsi
Wakati mko nyinyi wawili pekeenu, kaa karibu na yeye na ujifanye kama hukuona kama umekaa na yeye karibu sana. Umekuwa ukimtongoza mara kwa mara so ni wakati wako sasa wa kuingia katika himaya yake binafsi.

Iguse mikono yake ama vidole vyake wakati ambapo unaongea kitu flani, weka mikono yako kwa kiuno chake wakati unapishana na yeye ama unaenda ule upande mwingine, mguse huku ukimsifia, ama unaweza kumkumbatia sekunde zaidi wakati mnaagana. [Soma: Mbinu ya kumpatisha nyege mwanamke bila kukusudia]

#7 Jenga tenshen ya kemia
Kufikia sasa, atakuwa anahisi hisia kila wakati ambapo unamgusa kimaksudi au kibahati mbaya. Hii ndio hatua ambayo unapaswa umfanye atamani miguso yako. Kumbuka hapa kuwa lengo letu ni kufanya mapenzi na yeye lakini tunaenda kimpango. Wakati unapokuwa unamgusa, hakikisha kuwa mkono wako unatomasa mgongo wake ama mikono yake. Msogelee karibu zaidi na umwambie maneno kupitia kwa masikio yake. Ongea kwa sauti nzito na iliyo ya kuvutwa wakati unapokuwa naye. Jenga kemia vile inavyohitajika na utamfanya atamani mikono yako ibaki kwake daima. [Soma: Jinsi ya kumsisimua mwanamke kabla kufanya naye mapenzi]

#8 Cheza michezo
Kama umekuwa ukimsuka na umekuwa ukimjaza kila wakati unapokuwa umekaa na yeye, basi utakuwa umemtongoza na ameingiliana na unaweza hata kuenda kulala na yeye.

Lakini kama unataka kuchukua mambo hatua kwa hatua basi unaweza kurudi kule kwa text na uwe unamtumia jumbe za kumsuka na kumchanganya akili mara kwa mara. Hapa utakuwa unamtongoza huku ukienjoy. Tumeelewana hapa?

#9 Mazungumzo machafu
Umekuwa ukimtext, ukimsuka, na kumtongoza kila usiku. Na kama amekuwa akiingiliana na text hizo zako, hapa basi ndipo unaweza kuwa na ile ruhusa ya kuongea uchafu na yeye na kuchukua hatua ya juu zaidi. Tumia simu yako kuanza kwa kumtumia meseji zilizo rahisi ambazo zinaonekana safi hadi ufikie kule kwa kumtumia meseji chafu. Na bila hata kujijua mtajikuta nyote wawili mkisex chat pamoja. [Soma: Meseji za kumtumia mwanamke ili kumwandaa kusex chat na yeye]

#10 Mwagize mtoke out
Pindi ambapo mtakuwa mshafanya sex chat na mwanamke kupitia kwa simu itakuwa tayari ushafunga mchezo. Sasa kile kilichobakia ni kufanya mapenzi ana kwa ana. Mwambie mtoke out ama mwambie kuwa unataka kukutana na yeye siku moja. Tengeneza plan ya kukutana nyumbani kwake ama aje mkutane kwako. Hakikisha kuwa sehemu ni hizo mbili pekee na wala si kukutana sehemu za umma unless kama bado unajaribu kumtongoza mara nyingine. Na hapa ndipo utaamua kama mahusiano yenu yatakuwa ya mlalano ama yatakuwa ya romance.

#11 Fanya mapenzi na yeye
Na mwisho utakapokutana na yeye – tayari anajua ajenda ya kukutana na wewe – usimrukie papo kwa papo eti kwa kuwa tayari umefanya sex chat na yeye kwa simu.
Unaweza kuharibu mpango mzima ambao umekuwa ukiujenga kwa muda.

Well. Hili somo kama unataka kulipata na kulisoma kwa kina na hatua za moja kwa moja basi jichukulie nakala yako ya kitabu cha ‘KUTONGOZA MWANAMKE: Kuanzia Hadharani Hadi Kitandani' ili uweze kukuza kipawa chako ambacho bado hujakivumbua cha kuwanasa wanawake.

Monday, 30 May 2016

Zijue Faida/Hasara za Kurudiana Na Mpenzi Wako Wa Zamani

Kuna faida ya wapenzi kuachana na kurudiana? Vipi kuhusu hasara zake? Hiyo ndiyo mada yetu ya leo kama inavyojieleza. Bila shaka unawajua watu ambao walikuwa wakiishi pamoja kimapenzi, iwe ni ndoa, uchumba au uhusiano wa kawaida ambao wamewahi kutengana na baadaye wakarudiana, iwe ni mara moja au zaidi.
Yawezekana hata wewe ukawa miongoni mwa watu wa aina hiyo, kwamba uliwahi kutengana na mtu umpendaye lakini baadaye ukajikuta unarudiana naye na kuanzisha upya uhusiano.
Je, kuna faida na madhara gani kwa wapenzi kuachana kisha kuja kurudiana tena na kuanzisha upya uhusiano wa kimapenzi? Ukiwaona watu wanaoishi kwenye aina hii ya uhusiano wa kimapenzi unawachukuliaje?

NI JAMBO LA KAWAIDA KATIKA MAPENZI

Yawezekana aina hii ya uhusiano wa kuachana na kila mmoja akaendelea na maisha yake kisha baada ya muda mkarudiana tena, likaonekana jambo la ajabu au geni katika mila na desturi za Kiafrika lakini kwa taarifa yako, hili ni jambo la kawaida kabisa katika uhusiano wa kimapenzi duniani kote.
Takwimu zinaonesha kwamba asilimia kubwa ya wanandoa au watu ambao wapo kwenye uhusiano imara wa kimapenzi, wamewahi kupitia kipindi hiki kigumu cha kutengana na kurudiana, wengine wakifanya hivyo mara kadhaa.
Wapo baadhi ya watu ambao baada ya kutengana, hushindwa kukaa chini na kumaliza tofauti zao hata kama bado wanapendana kwa kuona jamii itawashangaa kuwaona wakiwa pamoja tena baada ya kuachana kwa kashfa na vurugu kubwa.
Kama na wewe ni miongoni mwa watu wa aina hii, narudia kukusisitiza kwamba hilo ni jambo la kawaida na linafanyika duniani kote.

MADHARA YAKE

Yapo madhara mengi yanayowakumba watu wanaoishi kwenye aina hii ya uhusiano. Inapotokea mmeachana na kila mmoja akaanzisha ukurasa mwingine wa mapenzi, lazima atakutana na mazingira tofauti kabisa na yale mliyozoea kuishi pamoja.
Endapo atakutana na mtu mwingine ambaye amekuzidi vitu vingi, hata ikitokea wakaachana na akarudi kwako, hawezi kukupenda kwa kiwango kile kama ilivyokuwa mwanzo kwa sababu tayari kuna vitu vipya vimeingia ndani ya kichwa chake na huo utakuwa ufa mwingine ambao hapo baadaye utasababisha muachane tena.
Upo ushahidi wa wapenzi ambao baada ya kutengana na watu waliokuwa wanawapenda mwanzo, walikutana na watu wengine wenye uwezo wa kuwaridhisha na kuwafurahisha faragha kuliko ilivyokuwa kwenye uhusiano uliovunjika. Inapotokea ukarudiana na mpenzi wa aina hii, ambaye tayari ameshauona ulimwengu mwingine wa kuridhishwa kimapenzi ambao kwako hakuwahi kuuona, kamwe hawezi kutulia na wewe. Hesabu maumivu.
Suala lingine ni maradhi. Katika dunia iliyochafuka kama hii tunayoishi, ni hatari kurudiana na mwenzi wako kwa sababu hujui baada ya kutengana na wewe alikuwa akitoka na nani. Ni rahisi kukuletea maradhi ya zinaa au Ukimwi hasa kama alikuwa anatoka na watu wasio sahihi. Unapaswa kuwa makini katika hili.
Kulipizana visasi ni tatizo lingine linaloweza kuwakumba watu wanaoishi kwenye uhusiano wa aina hii. Yawezekana wewe ndiye uliyemuumiza mwenzi wako wakati mnaachana, ukautesa moyo wake na kushindwa kumuonea huruma wakati akiteseka.
Inapotokea mmerudiana, wengi hubaki na vinyongo ndani ya mioyo yao na kwa sababu wewe ndiye uliyemuumiza na yeye atakutafutia sababu ya kulipa kisasi ili na wewe uhisi maumivu kama aliyoyahisi yeye wakati mnaachana.

FAIDA ZAKE

Narudia kusisitiza kwamba japokuwa wengi wanaona kama ni jambo la ajabu kurudiana na mtu uliyekuwa unampenda, ni jambo la kawaida kabisa na watu wengi wanafanya hivyo duniani kote.
Takwimu zikionesha kwamba wanandoa au wapenzi waliowahi kupitia kipindi cha kutengana kisha wakarudiana tena, wana nafasi kubwa ya kudumu kwenye uhusiano wao kwa kipindi kirefu zaidi.

Zifuatazo ni faida za kuachana na kurudiana.

TAYARI MNAJUANA: Mara nyingi unapoanzisha uhusiano mpya, unaweza kudhani kwamba unampenda sana mtu uliyenaye kwa sababu bado humfahamu kwa kina lakini ukishamjua kwa undani, hasa tabia zake, yale mapenzi uliyokuwa nayo huisha haraka kwa sababu ya upungufu utakaoubaini.
Unaporudiana na mwenzi wako, huanzi upya kwa sababu kama ni kumjua tayari unamjua na yeye anakujua, unaelewa udhaifu na uimara wake, hali kadhalika na yeye anakujua kwa hiyo mkiamua kuwa ‘serious’, kazi inakuwa nyepesi kuliko kuanza upya na mtu mwingine.
 
MMESHAKOMAA KIHISIA: Uamuzi wa kumrudia mtu aliyewahi kukuumiza, huhitajiujasiri mkubwa sana na ukiona umeweza kumsamehe na moyo wako bado unamhitaji, hiyo ni ishara ya ukomavu wa kihisia. Kama mkirudiana pamoja, hakuna tena jambo linaloweza kuwasumbua kwa sababu mmeshapitia milima na mabonde.
Kuna msemo mmoja maarufu kwamba huwezi kuona umuhimu wa kitu mpaka utakapokipoteza. Muda ambao mmeachana, kila mtu hupitia kipindi kigumu kihisia. Huu ndiyo muda ambao unaweza kupima kati ya mazuri na mabaya ya mwenzi wako, yapi yalikuwa mengi.
Ukiona moyo wako bado unamhitaji hata kama yapo aliyokukosea, tafsiri yake ni kwamba umeona umuhimu wake na utakapopata nafasi ya kurudiana naye utakuwa makini usimpoteze tena.
HISIA ZAKO ZIMETULIA: Inapotokea unakorofishana mara kwa mara na mwenzi wako, zile hisia tamu za mapenzi kati yenu hupotea kabisa na matokeo yake mnaishi kimazoea. Lakini inapotokea mmetengana na kila mmoja akaendeleana mambo yake, hisia hutulia na kurudi upya. Mnaporudiana kila mmoja anakuwa mpya kihisia hivyo mnakuwa na nafasi kubwa ya kudumu.
HAKUNA CHA KUWAYUMBISHA TENA: Wahenga wanasema nahodha mzuri wa meli hupimwa wakati bahari imechafuka. Ikiwa mmeshapitia kwenye machafuko makubwa yaliyosababisha mpaka mkaachana, wakati mwingine kwa vurugu kubwa, ni dhahiri kwamba kila mmoja ameshapata uzoefu.
Hata ikitokea mmekorofishana tena, hakuna atakayekuwa tayari kuona mnarudi kule mlikotoka hivyo mtamaliza vizuri tofauti zenu

Tuesday, 24 May 2016

Je ni Kweli Supu ya Pweza Inaongeza Nguvu za Kiume? Ukweli Huu Hapa

HAMU ya tendo la ndoa kwa mwanadamu au mwanamke ni moja ya hisia za msingi kwa mtu wa kawaida kama ilivyo njaa au usingizi.

Kwa ajili ya matatizo mbalimbali yaliyo katika jumuiya, pamoja na kwamba tendo la ndoa ni jambo la msingi kwa wale waliooana, kuna wanaume aidha hawana uwezo wa kulifanya tendo hili au wana hisia ndogo na nguvu kidogo za kutekeleza tendo hili.

Panapokuwa na changamoto Fulani, wajasiriamali huiona changamoto hiyo kama fursa, na fursa hiyo imeonekana kuwanufaisha vijana wanaokaanga samaki aina ya pweza katika soko la samaki la kimataifa la magogoni baada ya supu ya samaki huyo aina ya pweza kuonekana kupendelewa sana na wanaume wa rika zote nchini.

Lakini siku za hivi karibuni hiki kitumbua kimonekana kuingia mchanga, yaani biashara kuharibika baada ya uvumi kwenye mitandao ya kijamii kudai kwamba wakaanga samaki wanaweka dawa za kuongeza nguvu za kiume aina ya viangra ili kuisisimua miili ya wateja wao,

Ni imani ya wanaume wengi wa pwani na hata kutoka bara ambao huishi ukanda wa pwani siku hizi hupenda supu ya pweza kutokana na wingi wake wa virutubisho ambavyo huamini kuwa vinaongeza nguvu za kiume kwa waliopungukiwa.

Baadhi ya vijana waliozungumza na  wamedai kwamba mara nyingi wanatumia supu ya pweza ili kusisimua mwili huku wengine wakidai wanatumia kama kiburudishotu sio kama dawa ya kuongeza nguvu.

ULAJI wa supu ya pweza, kwa dai kwamba vinaongeza urijali kwa wanaume kumeelezwa kuwa ni dhana potofu inayostahili kupigwa vita kwa kuwa haina uhusiano kati ya urijali wa mwanaume na virutubisho vinavyotolewa na chakula hicho.

Kwa siku za hivi karibuni vijana wengi wameonekana kuchangamkia matumizi ya dawa za kuongeza nguvu za kiume bila kushauriwa na daktari
 
Copyright © 2014 Kali Za Wana. Designed by OddThemes