BREAKING NEWS

Thursday, 30 June 2016

CHID Benz Afunguka ya Moyoni..'Dawa za Kulevya Sitaki Hata Kuzisikia Zimeniumiza Sana na Kunidhalilisha Sana'

“Dawa za kulevya kwangu zinabaki kuwa historia, sitaki hata kuzisikia zimeniumiza sana kimawazo, zimenidhalilisha na zimepoteza...

TAZAMA Nyumba Aliyokuwa Anaishi Mtangazaji Millard Ayo Kabla Mambo Hayajamyookea...

TBT mtu wako wa nguvu nikiwa nje ya chumba nilichokua naishi kwa miaka mitatu 2005-2008 Keko Machungwa Dar es salaam toka...

Floyd Mayweather ni mshkaji wangu, tunaongea sana – Prezzo

Mfalme wa bling bling nchini Kenya, Prezzo amedai kuwa bondia tajiri wa Marekani, Floyd ‘Money’ Mayweather ni mshkaji wake...

Hii Ndio List ya Mastaa wa Tanzania Waliokuwa Verified Instagram

Kuwa verified katika mitandao ya kijamii ni kitu ambacho kinawaongezea wasanii umakini na kuwapatia uhakika kwa mashabiki...

Rasmi: Zlatan Ibrahimovic ataja timu atakayoichezea msimu ujao

Aliyekuwa mchezaji wa timu ya PSG, Zlatan Ibrahimovic ametangaza rasmi kuwa ataichezea timu ya Manchester United kwa msimu...

Ajabu: Mwanaume Afunga Ndoa na ‘Simu Yake’ Kanisani

Mwanaume mmoja aliyejitambusha kwa jina la Aaron Chervenak mwenye umri wa miaka 34 na mkazi wa Los Angeles nchini Marekani,...

Shilole Na Mpango Wake Wa Kutafuta Mume Kijijini.

MKALI wa Muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amejutia kuwapenda wanaume wa mjini kuwa ni wavivu kila sekta...

Friday, 24 June 2016

Chidi Benz"Wadau Wa Muziki Ni Chanzo Cha Wasanii Kutumia Unga"

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Chidi Benz amefunguka na kueleza jinsi wadau wa muziki nchini wanavyosababisha wasanii wa...

Friday, 17 June 2016

Exclusive: Ripoti ya redio na TV za Tanzania zenye watazamaji/wasikilizaji wengi zaidi

Kituo cha ITV kinachomilikiwa na kampuni ya IPP Media Group kwa mara nyingine tena kimeongoza kwa kuwa na watazamaji wengi...

Mwasiti kuachia ngoma mpya aliyomshirikisha Chidi Benz

Kama umemiss sauti ya Chidi Benz, kuna habari njema. Mwasiti anatarajia kuachia ngoma mpya aliyomshirikisha...

Vanessa Mdee kuwania tuzo ya msanii bora wa kike wa Afrika katika tuzo za NEA Awards 2016

Mkali wa wimbo ‘Niroge’, Vanessa Mdee amechaguliwa kuwania tuzo ya msanii bora wa kike wa Afrika katika tuzo...

Thursday, 16 June 2016

Download Audio | Chid Benz - Kimbiza

                                            ...

Utafiti: Picha za Utupu Hupunguza Hamu ya Kufanya Mapenzi

Watoto wengi hupata njia ya kutazama picha za ngono mitandaoni wakiwa na umri mdogo, kwa mujibu wa utafiti.Karibu asilimia...

Wednesday, 15 June 2016

Master J na Shaa kufunga ndoa

Mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini, Joachim Kimaryo ‘Master Jay’, ameweka wazi mpango wake wa kufunga ndoa na mpenzi...

Idris Asema Wema Kutumia Tsh Milioni 4.8 kwa Ajili ya Nywele kwa Mwezi ni Hadhi yake

Baada ya mashabiki na wadau mbalimbali kujadili kauli ya Wema Sepetu ya kwamba anatumia Tsh 4.8 kwa ajili ya nywele zake...

Jack Wolper Nusura Apigwe Risasi Kwenye Ugomvi Kituo cha Mafuta.

Mwanadada anayeng’ara kunako tasnia ya filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper, juzikati almanusra apigwe risasi kwenye...

Monday, 13 June 2016

Download New Audio | Yamoto Band Ft Ruby - Suu

                                                         ...

Sunday, 12 June 2016

Download New Video | Nuh Mziwanda Ft. AliKiba - Jike Shupa

WATCH VIDEO                               ...

Huu Ndio Mwongozo Wa Adhabu Wanazotoa WCB Kama Msanii Wao Akifanya Makosa

Uongozi wa label ya ‘WCB’ umesema umejipanga kikamilifu kudhibiti swala la nidhamu kwa wasanii wake.Akizungumza na waandishi...

Nuh Mziwanda Kufanya Bonge La Kolabo Na Tekno Soon...!

Nuh Mziwanda amesema anakaribia kukamilisha collabo yake na msanii wa Nigeria, Tekno.Wimbo wa Jike Shupa ni moja kati ya...

Friday, 10 June 2016

Download Audio | Best Nasso - Ukweli Uko Wapi

                          ...

Download Video: Best Nasso - Ukweli Uko Wapi?

DOWNLOAD M...

Thursday, 9 June 2016

Naangalia Pesa Kabla Sijamkubali Mwanaume – Gigy Money

 Msanii wa Bongo Fleva na video queen, Gigy Money amesema kuwa anaangalia pesa kabla hajamkubali mwanaume.Akiongea...

Raymond wa WCB Wasafi Aringishia Mabunda ya Pesa Mtandaoni, Jionee Hapa

Wakati mtaani raia wakilalamika kuhusu ukata wa hela toka Rais Magufuli aingie madarakani, mkali wa wimbo ‘Kwetu’ kutoka...

Wednesday, 8 June 2016

Wolper na Nisha wazinguana kisa Harmonize? Nisha kajiweka kwa Raymond?

Drama za mastaa wa bongo movies hazeshi (no typo). Jacqueline Wolper na Salma Jabu maarufu kama Nisha wamepishana lugha...
 
Copyright © 2014 Kali Za Wana. Designed by OddThemes