BREAKING NEWS

Friday 20 May 2016

Rapper Kutoka Kenye 'Prezzo' Amvalisha Pete Mchumba Wake Michelle Oyola


Pezzo2

 Rapper kutoka Kenya Prezzo hatimaye amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Michelle Oyola ambaye amekuwa naye karibu sana siku za hivi karibuni.

Prezzo ambaye pia kipindi cha nyuma aliwahi kuwavisha pete wanawake wawili wa kwanza akiwa ni mama mtoto wake Daisy na marehemu Goldie. Taarifa hii imekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii nchini Kenya ambapo wengi wanaamini kuwa huyu ndiye atakuwa mke wa Prezzo.
Kupitia mtandao wa Instagram Prezzo aliweka picha iliyoambatana na ujumbe: That rock on her finger’s like a tumor, her hand ain’t gon fit in her purse 💪💪💪 #MrsMakini #Rapcellency #GodsSon.”
Pezzo

Bongo5.com

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Kali Za Wana. Designed by OddThemes